Sifa
- Hakuna ada za akaunti
- Punguzo la 50% kwenye ada ya kutoa pesa kaunta (OTC)
- Hakuna kiwango cha chini cha salio la uendeshaji
- Riba ya kuvutia
- Huduma ya benki kwa simu ya mkononi
- Huduma ya benki mtandaoni
- Upatikanaji wa kadi ya benki (debit card)
Lengo: Watu binafsi ambao ni wanachama wa vikundi vya kujisaidia (SHGs) vinavyohusishwa na Kanisa Katoliki.