Mkopo wa Kufadhili Ununuzi wa Mali

Watu wanaotaka kununua gari.

Mkopo wa Kufadhili Ununuzi wa Mali
Business Loan

Mkopo wa Kufadhili Ununuzi wa Mali

Sifa

  • Ufadhili wa hadi 70% kwa magari yaliyotumika
  • Ufadhili wa hadi 90% kwa magari mapya kabisa
  • Ufadhili wa malipo ya bima
  • Hakuna gharama zilizofichika
  • Mchakato wa haraka

Manufaa

  • Fanya umiliki wa gari uwe rahisi zaidi
  • Chaguzi rahisi za ufadhili
  • Usaidizi wa ufadhili wa bima

Unahitaji kufanikisha mipango yako?

Branch Locator Open a Digital Account Contact Us (WhatsApp) Agents Locator