Mkopo wa Elimu wa Hekima

Watu wanaotafuta ufadhili wa ada ya shule.

Mkopo wa Elimu wa Hekima
Business Loan

Mkopo wa Elimu wa Hekima

Sifa

  • Ada zinazolipwa moja kwa moja shuleni
  • Hundi za benki za bure kwa ajili ya shule
  • Huduma ya haraka
  • Viwango vya riba vya ushindani

Manufaa

  • Malipo rahisi ya ada ya shule
  • Hupunguza shinikizo la papo hapo la gharama za elimu

Hakikisha elimu ya mtoto wako inaendelea vizuri – tuma maombi leo.

Branch Locator Open a Digital Account Contact Us (WhatsApp) Agents Locator