Sifa Hakuna ada za uendeshaji wa akaunti. Hakuna gharama za miamala. Upatikanaji wa huduma za kibenki kupitia mtandao na simu ya mkononi. Kitabu cha hundi kinapatikana kwa ombi.