Imarisha Junior Accounti

Kwa watoto walio chini ya umri wa miaka 18, wazazi na walezi wanaweza kuweka akiba kwa ajili ya malengo yanayolenga watoto.

Imarisha Junior Accounti
Business Loan

Imarisha Junior Accounti

Sifa

  • Riba ya kuvutia kwenye amana
  • Maagizo ya kudumu yanaweza kuweka fedha kwenye akaunti hiyo kutoka kwa akaunti ya kawaida ya akiba.

Manufaa

  • Jenga tabia ya kuweka akiba kwa mpangilio.
  • Weka akiba kwa ajili ya ada ya shule, siku za kuzaliwa na malengo mengine yanayohusu watoto.

Ungependa maelezo zaidi kuhusu Imarisha Junior Accounti?

Branch Locator Open a Digital Account Contact Us (WhatsApp) Agents Locator